Asali ni chakula ambacho kinatokana na Nyuki ambapo hutunzwa kwenye sega na baadae huvunwa.
Kuna faida nyingi zitokanazo na asali hizi hapa ni chache ya hizo.
1.Asali husaidia kushusha presha ya damu.
2.Asali husaidia kuboresha na kuimarisha afya ya moyo.
3.Asali hutumika kama ni dawa ya kikohozi.
4.Asali hutumika katika kutibu majeraha ya vidonda na yakuungua moto.
5.Asali husaidia kuongeza kiwango cha sukari kwenye damu.