FAIDA ZA KITUNGUU MAJI KWENYE MWILI WA MWANADAM

 

Kitunguu maji ni aina ya mboga ambayo hutumika kama kiungo muhimu kwenye mapishi mbalimbali ya chakula laikini pia kitunguu maji ni dawa inayotibu magonjwa mbalimbli mwilini mwa mwanadam.


Zifuatango ni miongoni mwa faida za kitunguu maji .

1.Kitunguu maji husaidia kulinda mwili dhidi ya kisukari, saratani na maradhi ya moyo.

2.Kitunguu maji husaidia kuzuia kusambaa kwa saratani maeneo mengine ya mwili.

3.Kitunguu maji husaidia kuboresha na kuimarisha mifupa.

4.Kitunguu  husaidia kukuza nywele kwa wanaotaka kuwa na nywele refu.

5.Kitunguu maji Husaidia kudhibiti kiwango cha sukari kwenye damu kwa watu wenye type2 diabetes.

6.Kitunguu maji husaidia kuimarisha mfumo wa mmeng’enyo wa chakula.

7.Kitunguu maji husaidia kushusha presha ya damu.