FAIDA ZA KULA MATANGO

 


Tango ni tunda lenye maji mengi ambalo linabeba virutubisho kama vile Vitamini BCKPotassium na Manganese.

Hizi hapa ni miongoni mwa faida zitokanozo na tango katika mwili wa mwanadam.

1.Tango husaidia kushusha sukari mwilini.

2.Tango husaidia kupata choo vizuri na laini kwa wenye tatizo la kupata choo kigumu.

3.Tango husaidia kuondosha kemikali na sumu ndani ya vyakula ndani ya mwili.

4.Tango husaidia kupunguza uzito mwilini kwa wenye tatizo la uzito mkubwa.

5.Tango hutumika kama tiba ya ngozi kwa kusafishia uso na kuondoa mabaka mwilini.