Chai ni kinywaji maarufu duniani ambacho hupiwa kwa ladha tofauti kama vile ya tamgawiz, mchaichai, maziwa, karurafuu na kadhalika.
Kinywaji hichi kina faida kubwa kwenye mwili wa mwanadam pia tunaweza kusema ni tiba kwa baadhi ya magonwa.
Hizi hapa ni miongoni mwa faida hizo-
1.Chai husaidia kuimarisha mfumo wa mmeng’enyo wa chakula.
2.Chai husaidia kupunguza maumivu ya tumbo wakati wa hedhi.
3.Chai husaidia kupunguza hatari ya kupata shambulizi la moyo .
4. Chai husaidia kuyeyusha mafuta katika mwili wa mwanadam.
5.Chai husaidia kupunguza maumivu ya kichwa.
6.Chai husaidia kupunguza uzito.