ZIJUE DALILI HATARI KWA MAMA MJAMZITO

 

Kwa mwanamke mjamzito anatakiwa kuwa makini sana na baadhi ya vitu ili kujinga na madhara ya kuharibu mimba na ikiwa mjamzito atapata moja kati ya dalili zifuatazo haraka anatakiwa kuwahi katika kituo cha Afya.


1.kuvuja kwa dam kwa mjamzito.

2.kutomsikia mtoto akicheza tumboni.

3. Mjamzito kuvimba mwili kupita kiasi.

4.kupata maumivu makali chini ya kitovu.

5.kutoa uchafu na harufu kali ukeni.

6.kupoteza fahamu mara kwa mara.