ZIJUE FAIDA ZA KITUNGUU SWAUMUKitunguu swaumu ni jamii ya vitunguu ambayo hutumika kama kiungo katika mapishi mbalimbali ya chakula ambapo huleta ladha nzuri pia hutumika kama ni dawa ya kutibu magonjwa


Zipo faida nyingi zitokanazo na kitunguu swaumu hizi hapa miongoni mwa faida izo

1.Kitunguu swaumu husaidia kushusha presha ya damu

2.Kitunguu swaumu husaidia kuborsha afya ya ubongo na kuondoa tatizo la kusahausahau

3.Kitunguu swaumu husaidia kuboresha afya ya mifupa

4.Kitunguu swaumu husaidia kuboresha afya ya moyo

5.Kitunguu swaumu husaidia kuondosha sumu za vyakula na kemikali mwilini