Zabibu ni matunda yenye virutubisho vingi kama vile vitamini C, K, B6, na madini ya shaba.
Matunda haya yanapendwa sana na rika zote pia huumiwa kwa kutengezea mvinyo.
Matunda haya yana faida nyingi katika mwili wa mwanadam hizi hapa ni chache ya hizi.
1.Zabibu husaidia kupunguza athari ya magonjwa kama saratani, kisukari na
maradhi ya moyo na mishipa ya damu.
2.Zabibu husaidia kushusha shinikizo la damu.
3.Zabibu husaidia kuimarisha afya ya ubongo.
4.Zabibu husaidia kupunguza maambukizi ya baadhi ya bakteria na fangasi mwilini.
5.Zabibu husaidia kupunguza cholesterol mbaya mwilini.