FAIDA ZA NANASI KATIKA MWILI WA MWANADAM

 

Nanasi ni aina ya matunda ambayo hutoa maji matamu yanayotumika kutengenezea juisi pia nanasi lina virutubisho kama protini, vitamini C, vitamini B6na madini ya chuma .

Nanasi pia ni tiba kwa magonjwa mbalimbali hizi hapa ni faida 5 za kula nanasi kiafya.

1. Nanasi husaidi kupunguza misongo ya mawazo (stress).

2. Nanasi husaidia kupunguza hatari ya ugonjwa wa saratani.

3. Nanasi husaidi kusaidia kupona haraka baada ya kufanyiwa upasuaji.

4.Nanasi ni rahisi kumeng’enywa tumboni.

5. Nanasi husaidi kuboresha na kuimarisha mfumo wa kinga mwilini