FAIDA ZA KULA KAROTI KIAFYAKaroti ni tunda linalotokana na mzizi wa mkaroti ambao hutumiwa kama kiungo muhimu kwenye kupikia chalaku na dawa katika kutibu ngozi.

Zipo faida nyingi zitokanazo na karoti hizi hapa ni miongoni mwa izo


1.Karoti husaidia katika kuboresha afya ya macho.

2.Karoti husaidia kuulinda na muimarisha afya ya moyo na mishipa ya moyo.

3.Karoti Husaidia kudhibiti ugonjwa wa kisukari mwilini.

4.Karoti ni nzuri kwa afya  ngozi na husaidia kuimarisha ngozi.

5.Karoti husaidia kupunguza uzito wa mwili kwa mwenye uzito mkubwa.

6.Karoti  husaidia kupunguza hatari ya kupata saratani.