Msimamo wa ligi kuu Zanzibar ambapo leo utachezwa mchezo mmoja Kati ya Kvz na Machomane Amani saa 10:00.