HABARI PICHA: MKUTANO WA KAMATI YA UONGOZI WA VYAMA VYA SIASA

Mkurugenzi Mtendaji wa TGNP Lilian Liundi  Lilian akiwasilisha sera ya jinsia  kwa vyama vya siasa .


Meza kuu katika mkutano wa katika ya uongozi ya vyama vya siasa na TDNP.

 
 wajumbe wa kikao cha mashauriano na baraza la vyama vya siasa
 Msajili Msaidizi wa Vyama vya Siasa nchini,Bwa.Sistyl Nyahoza akichangia mada kweye mkutano wa uongozi wa vyama vya siasa.