ZIJUE FAIDA ZA NA MAAJABU YA PWEZAPweza ni kiumbe  kinachopatikana baharini, umbo lake ni mikia nyingi tofauti na viumbe vyengine ambapo amejipatiwa umaarufu mkubwa kutokana na maajabu aliyonayo

Pweza anatumika kwa mambo mengi kiwemo chakula na kitoweo lakini pia hutumika kama tiba ya magongwa mbalimbali, hizi hapa baadhi ya faida ambazo zinapatikana kwa kula pweza.

Kwanza kabisa pweza anasaidia kuongeza nguvu za kiume kwa wenye tatizo nguvu za kiume.

Pweza husaidia kuongeza maziwa wingi kwa mama aliyejifungua.

Pweza ana  virutubisho  ambavyo vinasaidia kumkinga mlaji na saratani ya utumbo mkubwa na shingo ya kizazi. 

Pweza ana virutubisho ambato humsaidia mlaji kuongeza hamu ya kufanya tendo la ndoa kwa wenye tatizo la kukosa hamu ya tendo .

Pweza anasaidia kuongeza madini joto mwilini na kupunguza athari ya maradhi ya moyo.