Zoezi la uhakiki kwa wastaafu wanapokea pencheni zao kwenye Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar ZSSF katika kofisi ndogo za ZSSF huko Kitogani mkoa wa Kusini Unguja.
 |
Bi Mtumwa Hassan Mstaafu kutoka Wizara ya Elimu akipata huduma ya uhakiki kutoka kwa mtoa huduma kutoka Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar ZSSF huko katika ofisi ndogo za ZSSF kitogani Mkoa wa Kusini Unguja. |
 |
Wastaafu mbalimbali wakiwa wanasubiri kuhakiki taarifa zao huko katika ofisi ndogo za ZSSF kitogani Mkoa wa Kusini Unguja. |
 |
Bw. Ali Ramadhani Ajali Mstaafu kutoka Wizara ya Elimu akitoa maoni yake kwa waandishi wa habari mara baada ya kuhakiki taarifa zake huko katika ofisi ndogo za ZSSF kitogani Mkoa wa Kusini Unguja.
|
 |
wastaafu mbalimbali wakiwa wanasubiri kuhakiki taarifa zao huko katika ofisi ndogo za ZSSF kitogani Mkoa wa Kusini Unguja. |